SIMBA YAMALIZANA NA RASTA WA MBAO FC, ASAINI MKATABA RASMI Beki Jamal Mwambeleko aliyekuwa akikipiga Mbao FC amesaini mkataba wa kuichezea Simba. Mwambeleko amemalizana na Simba leo na kila kitu sasa kipo kimaandishi kuwa ni rasmi ni mchezaji wa Simba.
0 COMMENTS:
Post a Comment