June 29, 2017Rais wa TFF, Jamal Malinzi na Katibu, Mwesigwa Celestine wamefikishwa mahamani na kusomewa mashitaka zaidi ya 25 yakiwemo ya matumizi mabay ya ofisi na utakatishaji fedha.

Malinzi, Mwesigwa na mmoja wa wahasibu wa TFF, Nsiande Mwanga wamesomewa mashitaka hayo na baadaye kupelekwa rumande hadi Julai 3. Wote waliingia Kisutu kupitia geti la nyuma kam ataswira zinavyoonyesha.

Pamoja na wao Rais wa Simba, Evans Aveva na Makamu wake, Geofrey Nyange ‘Kaburu’, walifikishwa mahakamani hapo wakikabiriwa na mashitaka ya utakatishaji fedha dola 300,00. Nao waliungana na kina Malinzi na Mwesigwa kuingia mahakamani hapo.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV