August 11, 2017
Mgombea wa Kanda ya Dar es Salaam, Lameck Nyambaya amekamatwa na Takukuru, taarifa zinaeleza anahojiwa hadi sasa.

Nyambaya amekamatwa mjini hapa wa pilika za uchaguzi zikiwa zimeshika kazi mjini hapa.

Bado haijajulikana chanzo cha kukamatwa kwake lakini inaelezwa alikuwa katika harakati za kampeni.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV