August 12, 2017



Wallace Karia amewabwaga wapinzani wake na kuwa Rais mpya wa TFF.

Wakati Karia ameibuka na kura 99, waliomfuatia wanaonekana kupata hadi chini ya kura 10.

Karia aliyekuwa Kaimu Rais wa TFF, ametwaa nafasi hiyo baada ya mchuano mkali katika uchaguzi mkuu uliofanyika Dodoma.


Tunaendelea kuwaletea taarifa kuhusiana na kinachojili mjini Dodoma.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic