August 12, 2017



Kipa Beno Kakolanya na kiungo wa pembeni wa Yanga, Geofrey Mwashiuya ni majeruhi.

Wawili hao ni majeruhi na hawatawaweza kucheza mechi za kirafiki hadi afya yao itakapoimarika.

Kakolanya ambaye alisajiliwa na Yanga akitokea Prisons ya Mbeya, alipumzishwa mazoezi yaliyopita.


Lakini mwashiuya naye ameshindwa kucheza akiwa na maumivu hali inayimlazimu kuendelea na matibabu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic