August 7, 2017


Kiungo Haruna Niyonzima sasa yuko tayari kujiunga na kikosi baada ya kuwasili usiku.

Niyonzima ambaye aliendelea kubaki kwao Kigali amewasili na kupokelewa na viongozi wa Msimbazi tayari kuanza kazi.


Nguvu zote zinaelekezwa kwa Simba ni kesho kwenye Tamasha la Simba Day wakati atakapotambulishwa rasmi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV