Harry Kane sasa hashikiki bila ya kujali ni England tu au Ulaya baada ya leo kupiga hat trick.
Kane amefunga mabao wakati Tottenham ikiwa ugenini kwa Apoel Nicosia na kushinda kwa mabao 3-0.
Mshambuliaji huyo alianza kuziona nyavu katika dakika ya 39 na Spurs wakaenda mapumziko na bao moja.
Kane alifunga bao la pili dakika ya 62 na akaongeza la tatu dakika tano baadaye na kuwatuliza kabisa wenyeji ambao walikuwa na ndoto ya kufanya vizuri katika Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Apoel Nicosia (4-4-2): Waterman 5; Vouros 5, Rueda 5, Carlao 5, Lago 5; Vinicius 6, Morais 6 (Alexandrou 84); Zahid 6.5, Sallai 6.5 (Makris 63, 5), Aloneftis 6.5 (Farias 75, 5); De Camargo 6.
Unused subs: Gudino, Pote, Antoniou, Merkis.
Bookings: Waterman, Vinicius
Manager: Giorgos Donis 6
Tottenham Hotspur (5-3-2): Lloris 6.5; Alderweireld 6, Sanchez 6, Davies 6.5; Aurier 4.5 (Llorente 57, 6), Dier 6, Winks 6.5, Tripper 7; Sissoko 7 (Georgiou 84), Son 6; Kane 9 (Nkoudou 75, 5).
Unused subs: Vorm, Foyth, Walker-Peters, Tashan Oakley-Boothe.
Bookings: Winks
Goals: Kane 39, 62, 67
Manager: Mauricio Pochettino 7
Referee: Pavel Kralovec (Czech Republic) 6
0 COMMENTS:
Post a Comment