September 22, 2017


Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe ameana mazoezi taratibu na rasmi ataungana na wenzake Jumatatu.

Tambwe ambaye amekuwa mfungaji bora zaidi katika Ligi Kuu Bara katika misimu mitatu, alianza mazoezi ya taratibu kwa mazoezi binafsi.

“Rasmi ataanza mazoezi Jumatatu, ndiyo ataungana na wenzake,” kilieleza chanzo.


Mrundi huyo amekosekana katika kikosi cha Yanga kwa muda mrefu kutokana na kuwa majeruhi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic