September 22, 2017




Unaweza Diego Costa kusema anarejea Atletico Madrid unaweza kusema yametimia.

Leo ametua jijini Madrid na kupokelewa na mashabiki waliokuwa eneo hilo.


Mshambuliaji huyo ameondoka Chelsea baada ya kutofautiana na Kocha Antonie Conte.



Tayari Chelsea na Atletico Madrid zimekubaliana kuhusiana na uhamisho wake wa zaidi ya pauni milioni 50.

Polisi walilazimika kuhakikisha wanamuondoa Costa kwa mashabiki waliokuwa wakitaka kupiga naye picha.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic