October 23, 2017


Uongozi wa Everton FC umemtimua kocha wake, Ronald Koeman. 

Mwenyekiti wa Everton, Bill Kenwright pamoja na mmilili wa klabu hiyo ambaye ana hisa nyingi zaidi, Farhad Moshiri ndiyo waliomtaarifu Koeman kutokana na kikosi chake kutofanya vizuri katika Ligi Kuu England.

Koeman raia wa Uholanzi ambaye ni rafiki wa Hans van der Pluijm, kocha wa Singida United, alikuja nchini na Everton FC ambayo ilicheza mechi ya kirafiki dhidi ya Gor Mahia ya Kenya.







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic