November 8, 2017




Shinda na SportPesa imezidi kupasua anga baada ya fundi ujenzi, Charles Lameck Chambua kuibuka na na Bajaj ya kisasa.

Chambua mwenye umri wa miaka 25 mkazi wa Mwananyamala jijini Dar es Salaam ambaye ni fundi wa ujenzi ameibuka na ushindi baada ya kubashiri kupitia kampuni ya SportPesa inayoendesha shindano hilo.

Bajaj 100 zimepangwa kutolewa kwa washindi 100 na tayari washindi wameendelea kujizolea Bajaj hizo na kuwapagawisha waliokuwa hawaamini.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic