Na Thomas Mwalupani, Mbeya
Mbeya City wametua uwanjani kuwavaa Simba kwenye Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya.
Mechi hiyo inaonekana kusubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki mjini hapa kutokana na ushindani mkubwa ambao hujitokeza kila zinapokutana timu hizo.
0 COMMENTS:
Post a Comment