Kampuni ya SportPesa imeendelea kumwaga Bajaj za kisasa aina ya TVS King Deluxe kupitia SHINDA NA SPORTPESA.
Mshindi wa shindano hilo anatakiwa kubashiri kupitia SportPesa ili kuingia katika droo.
Nephat Jason Chagula amekuwa mshindi mwingine ambaye ameshinda na Bajaj na tayari amekabidhiwa.
Chagula anatokea mkoani Simiyu na kufanya Kanda ya Ziwa kushinda Bajaj mfululizo baada ya Edward Zangara Mwita kutoka Igoma, Mwanza naye kuibuka na Bajaj hiyo.
SportPesa imepanga kutoa Bajaj 100 kwa washindi 100 kila siku.









0 COMMENTS:
Post a Comment