Washindi wa SHINDA NA SPORTPESA wanazidi kumwaga zawadi na safari hii washindi ni Kanda ya Ziwa.
Safari hii, Edward Zangara Mwita kutoka Igoma jijini Mwanza naye ameibuka na ushindi wa Bajaj ya kisasa aina ya TVS King Deluxe.
Tayari zawadi imekabidhiwa kwa Mwita akiwa nyumbani kwake Igoma jijini Mwanza na alionekana akiwa mwenye furaha kuu.









0 COMMENTS:
Post a Comment