SIMBA YAENDELEA KUJIFUA MBEYA IKIWASUBIRI PRISONS Kikosi cha Simba chini ya Kocha Joseph Omog, kimeendelea kujifua mjini Mbeya. Simba imeweka kambi jijini Mbeya ikijiandaa na mechi dhidi ya Prisons, Jumamosi.
0 COMMENTS:
Post a Comment