AGUERO MWANASOKA BORA WA JANUARI LIGI KUU ENGLAND Sergio Aguero ameteuliwa kuwa mwanasoka bora wa mwezi Januari wa Ligi Kuu England. Aguero anayekipiga na Man City, ameshinda tuzo hiyo kwa mara ya 15 tokea ajiunge na Man City.
0 COMMENTS:
Post a Comment