February 21, 2018



Kikosi cha Simba kinatarajia kuwasili nchini kesho alfajiri kikitokea nchini Djibouti.

Simba iliitwanga Gendamarie kwa bao 1-0 katika mechi ya Kombe la Shirikisho na kufanikiwa kufuzu kwa jumla ya mabao 5-0.

Kikosi hicho kitatua nchini kesho saa 7 usiku (baada ya leo saa 6 usiku) kikitokea Djibouti kupitia Nairobi.


Simba inarejea nchini kuendelea na maandalizi ya michezo yake ya Ligi Kuu Bara huku ikiwa inajiandaa kucheza dhidi ya Waarabu wa Misri, Al Masry.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic