February 12, 2018



Wachezaji wa Simba wamepewa mapumziko ya siku moja baada ya kuitwanga Gendamarie kwa mabao manne.

Kesho itakuwa siku ambayo wanarejea mazoezini ili kuendelea na maandalizi ya Ligi Kuu Bara.
Simba chini ya Kocha Pierre Lechantre iliitwanga Gendamarie ya Djobouti kwa mabao 4-0 na kujiweka katika nafasi nzuri ya kusonga mbele Kombe la Shirikisho barani Afrika.

Mechi ya pili itakuwa ugenini lakini Lechantre tayari amesema wako tayari na wanataka kusonga mbele.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic