February 13, 2018




Juma Nyosso amefungiwa kucheza mechi tano za Ligi Kuu Bara.

Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imepitisha adhabu hiyo pamoja na faini ya Sh milioni moja.

Nyosso amepatikana na hatia ya kumshambulia shabiki wa soka mara tu baada ya mechi dhidi ya Simba kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba, hivi karibuni.


1 COMMENTS:

  1. Je shabiki maandazi aliyemchokoza amechukuliwa hatua gani?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic