February 21, 2018


Kiungo Haruna Niyonzima ameondoka nchini tayari yuko nchini India tayari kuanza matibabu.

Niyonzima amekaa nje kwa zaidi ya miezi mitatu akisumbuliwa na maumivu ya goti.

Kiungo huyo raia wa Rwanda, ameondoka jana na ndege ya Emirates akipitia Dubai hadi nchini India.


“Tayari niko India salama, nasubiri kuanza matibabu,” alisema.a

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic