February 21, 2018




Mshambuliaji Juma Mahadhi ataikosa mechi ya leo Yanga ikiivaa St Louis ya Shelisheli.

St Louis watakuwa nyumbani na imeelezwa, Mahadhi ameamka hajisikii vizuri.

Hivyo, juhudi za kutaka arejee katika hali yake imeshindikana na atakosekana katika mchezo huo.


Katika mechi ya kwanza, Yanga ilishinda kwa bao 1-0, hivyo sare au ushindi tena, unaweza kuisongesha mbele.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic