February 18, 2018
Cristiano Ronaldo amekuwa katika kipindi kifupi cha hofu baada ya mmoja wa watoto wake mapacha kukimbizwa hospitali.

Mateo mwenye umri wa miezi nane alipelekwa hospitali na kuwekwa katika uangalizi maalum kutokana na kuugua ghafla.

Lakini taarifa za baadaye zikaeleza kwamba Mateo alikuwa akiendelea vizuri na Ronaldo na mpenzi wake Georgina Rodriguez wakawa tena na amani.


Mshambuliaji huyo nyota wa Madrid, amekuwa akitumia muda wake mwingi kucheza na waoto wake hao.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV