February 18, 2018Kikosi cha Simba kimetua nchini Djibouti usiku huu.

Pamoja na kuondoka nchini mchana wa leo, kikosi hicho kililazimika kusubiri kwa muda mwingi jijini Nairobi.

Wachezaji wa Simba wametua usiku huu kwa ajili ya mechi ya Jumanne dhidi ya Gendamarie.


Mechi hiyo ya Kombe la Shirikisho itachezwa Jumanne.

1 COMMENTS:

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV