Mabao hayo yamefungwa na Mustafi katika dakika ya 8, Aubameyang akifunga dakika ya 59 na msumari wa mwisho ukipigwa na Mkhitaryan.
Ushindi huo sasa unamfanya Kocha Wenger arudishe ila furaha ya mashabiki wa Arsenal, baada ya kutofanya vizuri kwenye mechi za hivi karibuni.








0 COMMENTS:
Post a Comment