July 24, 2018






Beki Rajab Zahiri kutoka Ruvu Shooting ametua Singida United na kupata kandarasi ya miaka miwili.

Zahiri aliwahi kuichezea Yanga na msimu uliopita aling'ara na Ruvu Shooting ambayo hatua za mwisho ilikuwa moto wa kuotea mbali.

Rajab zahili amejiunga kama mchezaji huru , amejiunga na kikosi hiki ikiwa ni pendekezo la kocha Hemed Moroco katika kuimarisha safu ya ulinzi ya Singida United kwa msimu ujao ili kufikia malengo ya club yetu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic