Mshambuliaji Danny Lyanga ametua katika klabu ya Azam FC akisaini mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia.
Lyanga alikuwa akikipiga katika kikosi cha Singida United, lakini leo rasmi ametangazwa kujiunga na Azam FC.
Kabla ya hapo, mshambuliaji huyo alikuwa akikipiga Simba na baada ya hapo akaenda kucheza nchini Oman.








0 COMMENTS:
Post a Comment