Liverpool wameendelea kujifua kwenye Uwanja wa Michigan nchini Marekani kwa ajili ya msimu mpya.
Mashabiki wamewapa mapokezi makubwa na wengi walionekana na hamu kubwa ya kumuona mshambuliaji Mohamed Salah aria wa Misri pamoja na Sadio Mane na Daniel Sturridge.
Liverpool ni kati ya timu zilizoweka kambi nchini Marekani huku ikishiriki michuano ya International Cup, kujiandaa na msimu mpya wa 2018/19.
0 COMMENTS:
Post a Comment