July 23, 2018


Uongozi wa klabu ya Singida United, umekubali kumuacha kiungo Fei Toto kujiunga na Yanga.

Uamuzi wa Singida United unatokana na taarifa kuwa, Fei Toto amepewa ruhusa ya kujiunga na Yanga baada ya ruhusa aliyopewa na mlezi wa Singida United, Mwigulu Nchemba.





1 COMMENTS:

  1. Anavuruga utaratibu wa Ligi. Huwezi kuwa Kiongozi wa timu mbili zinazoshiriki Ligi moja.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic