July 23, 2018






Kikosi cha Simba kimeendelea na mazoezi yake katika kambi maalum waliyoweka nchini Uturuki.

Chini ya Kocha Mbelgiji, Patrick Aussems, Simba wameendelea kujifua kwa kiwango cha juu huku kocha huyo akionyesha amelenga kutengeneza hali ya uimara ya miili.

Wachezaji wa Simba walifanya mazoezi kwenye Uwanja wa milima ya Kartepe nchini Uturuki.



3 COMMENTS:

  1. Kila nikimuangalia Niyonzima simuoni

    ReplyDelete
    Replies
    1. Niyonzima, Kagere na Eraso Nyoni walikuwa bado kupata viza ndio wamepata viza zao za safari sasa wapo tayari kujiunga na wenzao huko Uturuki.

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic