October 3, 2018


Kile ambacho kilikuwa kinaendelea katika mitandao ya kijamii baada ya mechi ya watani wa Jadi Simba na Yanga kumalizika na kutoka suluhu ya bila kufungana huku mada kubwa ikiwa ni ajibu kuanza mpira kwa kuanza nje.

Kitendo cha Mshambuliaji Ibrahim Ajibu kurusha mpira nje ijkiwa ni mwanzo wa mchezo huo huku imani za kishirikina zikihusishwa.


5 COMMENTS:

  1. Mpk manara awaambie ndio watakubali, hii timu manara ana akili kupita watu wote na akisema wakalale makaburini na wake zao lazima wakubali.

    ReplyDelete
    Replies
    1. ukiwa na iman ya kishirikina inamaana utakosa uwezo wa kupambana coz hata ukikosea utaamiani umerogwa. km uchawi upo ktk mpira basi nchi za afrika zingekuwa mbali kila zinapocheza mech zake za kimataifa. hiyo ni imani haba au kukosa kabisa imani na kuamini uchawi. mwenye uwezo atashinda tu hata uroge vip

      Delete
  2. Union mtu alarming uchawi basi na yeye mchana halafu mtu mjanja hulali kusahau Mara utasikia yangu wachawi Mara mjinga huyo huyo utasikia yanga wamshukuru kakolanya nasio uchawi tena

    ReplyDelete
  3. Kweli Mnara Mhenga wao hata akiwaambia leo atembee na wake zao watakubali tu!Kweli ni kupatwa kwa Simba.

    ReplyDelete
  4. Kweli inawezekana ikawa ni sahihi au sio sahihi, lakini cha msingi nafikiri ipo sheria ya kuanza mpira ndio maana unakuta lazima kuwe na wachezaji wawili watakao pasiana, yaani wakwanza anaanzisha kwa kumpasia mwenzake na wapili anaweza kupiga mbele au nje. swali langu kwa wataalamu; nini ilikua dhamira ya Ajibu kupiga mpira nje kwa makusdi kabisa? Na swali la pili ni kuhusu uanzishwaji wa mpira, wataalam tupeni sheria yake inasemaje? jambo lingine ni kwamba, tunapozungumzia ushirikina haina maana kwamba Yanga ndo wa kwanza, la hasha, au ndio tuseme Simba siku hiyo hawakufanya ushirikina,la hasha. Huko Cameroon, Nigeria, Niger, DRC n.k. kuna ushirikina mkubwa sana tena sana tu. Na huko Amerika ya Kusini ndio usiseme ushirikina upo kwa wingi tu, vile vile watu tusifikiri eti Ulaya hakuna ushirikina, upo tena kwa wingi sana tu. Ipo mifano miwili. Katika fainali za kombe la dunia za mwaka 1998 nchini Ufaransa, kocha wa uingereza aliwahi kulalamika kwamba hawakufanya vizuri kwa sababu hawakwenda na Mganga wao kule Ufaransa. Mfano mwingine ni wa mchezaji Daniel Sturridge wa Liverpool kila anapoingia uwanja hugeuka na kungia kinyumne nyume, hiyo ni imani yake inayohusishwa na ushirikina pia. Na yapo mambo mengine mengi yanayohusisha ushirikina na mpira wa miguu. Mwisho sitaki kuamini kwamba eti Simba wanaweza kwenda kwenye mechi na Yanga bila kufanya hayo mambo, hivyo ni vikorombwezo vya soka huwa vina raha yake. asanteni

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic