October 3, 2018

6 COMMENTS:

  1. Hovyo kabisa Yanga leo imefika mahala wanafurahia sare kama ushindi kutoka kwa Simba kitu gani linachoendelea ndani ya Yanga? Na sijui kama yanga wangeifunga Simba hali ingekuwaje? Licha ya kelele nyingi kuwa Simba ni ya kawaida na wangeenda kuifunga pale Taifa lakini Yanga waliamua kupaki basi dakika zote tisini za mchezo. Huwezi kujitapa kuwa wewe ni mshindani kama unashindwa kuonesha uwezo wako wa kupambana mbele ya mshindani wa kweli. Hongereni sana Simba kwa juhudi kubwa ya kuifanya Simba kuwa ya kimataifa hakika jumapili uliopita kila mtanzania mpenda michezo hasa mpira wa miguu walishuudia mabadiliko makubwa ndani ya kikosi cha Simba licha ya kutoka suluhu kwani ni moja ya matokeo ya mchezo ila kwa kiwango kile na tunaimani kocha akipata muda zaidi basi hali itakuwa nzuri zaidi na kuwa na timu itayotuwakilisha vyema zaidi katika mashindano ya Afrika hongereni sana simba jitihada zinaonekana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. siku zote huwa unaongea pumba kama Msemaji wenu

      Delete
  2. Kusema kweli kwa soka walilo onyesha Simba ni la kiwango cha juu na kwa kweli wakiendeleza kwa kiwango na kurekebisha makosa yaliyojitokeza kama ya kuwa makini na utulivu ndani ya boksi la upinzani basi tutafika mbali ktk michezo ya kimataifa.Muhimu wana Simba wasiwaingilie benchi la ufundi.Bravo wachezaji, benchi la ufundi,na viongozi wa Simba

    ReplyDelete
  3. balaa gani hilo tena.......la kumtakia mchezaji mwenzao heri ya kuzaaliwa.

    ReplyDelete
  4. ifike wakati ninyi mashaiki tuache unafki..Now kila fans wa Yanga akitabasamu or akisherekea kitu.....ooooh!! wanasangilia draw.........TUACHE USHABIKI WA KINAFKI WAACHENI TIMU ZICHEZE MPIRA UWANJANI...SIO KUCHEZA MDOMON

    ReplyDelete
  5. Shida washabiki wa simba hawajiamin YANGA nimabingwa sio wakudai point mezan ifike sehemu simba msiwe watu wakulalamika tu mwaka Jana tumewapa ubingwa ili mpunguze mdomo chakushangaza umekaribishwa maji unataka uingie jikon mnapaswa mjitathimin na huyo msemaji wenu anawapotosha mbumbumbu nyie

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic