Hii hapa rekodi ya mechi za Yanga msimu huu, haijapoteza hata mechi moja
Yanga 2-1 Mtibwa Sugar
Yanga 4-3 Stand United
Yanga 1-0 Coastal
Yanga 2-0 Singida
Yanga 0-0 Simba
Yanga 2-0 Mbao Fc
Yanga 3-0 Alliance
Yanga 1-0 Kmc
Yanga 1-0 Lipuli
Yanga 1-1 Ndanda
Yanga 2-1 Mwadui
Yanga 2-1 Kagera
Yanga 3-0 Jkt Tz
Yanga 3 - 1 Prisons
Yanga 2-1 Biashara
Yanga 3-2 Ruvu ST
Yanga 2-1 Mbeya City








Timu ya kimasikini inayojitambua na majukumu yake ni ushindi tu
ReplyDeletemimi ni shabiki wa Simba, lakini ukweli Yanga wanajitambua na wanashinda mechi zao, nawapa hongera. pamoja na kuwa na wakati mgumu kifedha, hawajapoteza mechi, wanaongoza ligi, wametoa droo mara 2 tuu mechi na Simba ambayo kama sio uhodari wa Kakolanya pengine Yanga siku ile wangepigwa mabao mengi na nyingine mechi na Ndanda. Hongereni Yanga mpo serious.
ReplyDelete