January 20, 2019


KIKOSI cha Alliance FC kimetumia vizuri Uwanja wao wa Nyamagana mkoani Mwanza leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya City kwa kushinda mabao 2-1.

Mabao ya Alliance yamefungwa na Dickson Ambundo dakika ya 33 na 55 huku bao la Mbeya City likifungwa na Iddy Seleman 'Nando' dakika ya 81.

Alliance kwa sasa ipo chini ya Kocha, Malale Hamsini ambaye alikuwa akiifundisha timu ya Ndanda FC.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic