January 20, 2019


Mashindano ya Usalama Barabarani ‘Kamanda Cup’  yamezinduliwa katika viwanja vya Tanganyika Pakers  jijini Dar es Salaam na jumla ya timu 128 za waendesha bodaboda wa mkoa wa Dar es Salaam zinashiriki.

Lengo la michuano hiyo ni kutoa elimu kwa madereva wa vyombo vya moto,  mashindano hayo yameandaliwa na jeshi la Polisi kwa kudhaminiwa na kampuni ya GSM Tanzania ambayo yanatarajiwa kuchukua zaidi ya miezi mitano kumalizika.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic