Shirikisho la Soka la Afrika (Caf), limeitoa Ismaily ya Misri kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya makundi.
Caf imechukua hatua hiyo kuitoa Ismaily baada ya mashabiki wake kufanya vurugu katika mechi dhidi ya Club African ya Tunisia.
Mwamuzi alilazimika kumaliza mechi dakika chache kabla ya mechi kwisha kutokana na mashabiki kumshambulia mwamuzi msaidizi kwa mawe na chupa za maji lakini pia waliwashambulia wachezaji na makocha kwenye benchi la Club African.
Bado wachezaji wa Yanga
ReplyDeleteNa mama yako tunamsubiri pia!
Deletewewe unaetoa matusi mitandaoni unajielewa?, kwa nn usijizuie why uingize wazazi kwa kejeli huyo mama yake unaemsubili we kama nani?, kipi kibaya kilichokuuma?
ReplyDeleteUshabiki umezidi yanga walishawah kufanya vurugu za hivo mpaka awataje kuwa bado yanga???? Ndomana nae kaguswa akamtaja mama yake
Delete