BARUA YA CAF KUIONDOA ISMAILY LIGI YA MABINGWA AFRIKA Shirikisho la Soka la Afrika (Caf), limeitoa Ismaily ya Misri kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya makundi.
0 COMMENTS:
Post a Comment