Obrey Chirwa alifunga mabao mawili dakika ya 33 akipokea pasi kutoka kwa Tafadzwa Kutinyu na dakika ya 60 kipindi cha pili alifunga bao la tatu.
Ennock Atta alifunga bao la pili dakika ya ya 44 kwa mpira wa faulo akiwa nje ya 18 kwa mguu wa kushoto uliozama moja kwa moja langoni.
This comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteHa ha akicheza Yanga mnafuatilia hadi SAA tatu mnatoa kinachoendelea. Simba ikicheza inafika hadI SAA tano asubuhi siku inayofuatia hamjatoa matokeo ya mchezo...Haya kikosi chenu mlichokiita cha wanaume Leo hoi..
DeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteMtafuta saana...ukweli tutawaambia...andikeni basis hata majina yenu
DeleteDk 90 naamini timu ya wananchi itarekebisha mambo
ReplyDeleteHuo ni mwanzo wa kikosi cha wanaume. Zahera weka nidhamu endelea nasi tupo pamoja nawe. Fukuza Katolinya na fukuza kila ansechelewa kuripoti
ReplyDeleteMkikosolewa mnafuta comments za wadau?
ReplyDeleteAu hasira za timu ya mauaji kutandikwa?Tayari la 3.Mtaripoti tu.
Tuliwaambia Mtakubali tu.
Kikosi cha mauaji kimeuawa namna gani ndugu? Halafu matokeo ya jana Simba hatukuyaona kabisa
ReplyDeleteProtas-Iringa
Ni shida aisee
ReplyDelete