VIDEO: KAMA KAWAIDA, ZAHERA AFUNGUKA YAKE YA MOYONI BAADA YA MECHI NA MWADUI KUMALIZIKA
Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera amesema kuwa timu yake imefanya mazoezi ya nguvu tangu wapumzike kupisha michuano ya kombe la Mapinduzi ambacho kwa upande wao walipeleka kikosi B na huku kikosi cha Kwanza kikiendelea na mazoezi jijini Dar es Salaam.
Yanga walitolewa na Azam FC Katika kombe la Mapinduzi wa jumla ya mabao 3-1 na kusababisha kutosonga mbele katika hatua ya nusu fainali.
0 COMMENTS:
Post a Comment