January 17, 2019

6 COMMENTS:

  1. Afadhali Simba wangemchukua kipa aliyecheza finali ya mapinduzi cup kuliko Dida

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nakuunga mkono Bro. Dida ni madida tu kwasasa, hakuna kitu kabisa. Anafanya makosa ya wazi halafu badala ya kujutia yeye anacheka! na hata kiwango kwasasa hakuna. Yule dogo ALI SALUM aliyedaka mapinduzi mimi nina imani ndiye kipa namba mbili wa Simba na Dida ni namba tatu, na isitoshe kama mkataba wake bado ni bora aende kwa mkopo kwingine akapate changamoto mpya. Kwa namna nyingine ni bora Nduda angebaki halafu Dida ndo aende kwa mkopo.

      Delete
  2. Ila pia hata Salamba nae sijaona sababu ya kwenda, labda akae benchi tu. Hana msaada katika timu kabisaaaaa. Ametuangusha sana mapinduzi. Hadi karne hii ya mpira wa miguu mchezaji kuzunguka uwanja na kutembea bila kupata mpira! unapewa pasi nzuri unaipoteza kwa kumpa adui!

    ReplyDelete
  3. Acheni maneno wakufunzi wanaangalia mengi sana kuliko hata sisi neno moja tu, ni Maombi kwa wawakilishi wetu SIMBA SPORT CLUB, NGUVU MOJA

    ReplyDelete
  4. Salim ni kipa mzuri, yes lakini hana uzoefu kama Dida. Naamini baada ya makosa aliyofanya kwenye mechi na Mashujaa amejirekebisha, hawezi tena kufanya makosa ya kijinga. Ila mpaka sasa sijaelewa kwanini Nduda alitolewa kwa mkopo. Mimi namuona kama kipa bora.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic