January 10, 2019

MAZOEZI YA SIMBA LEO


Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba wamefanya mazoezi yao kwenye Uwanja wa Boko Veterani ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mwisho kabla ya kuwavaa JS Saoura kutoka Algeria.

Saoura wanatarajia kuwasili nchini leo usiku tayari kwa mchezo huo keshokutwa.

Chini ya Kocha Patrick Aussems, Simba wamejifua mazoezi mengi yakionekana kuwa mepesi kutokana na namna mechi ilivyokribia.

Mashabiki walijitokeza kwa wingi kwenye uwanja huo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic