February 1, 2019


LIGI Kuu Bara leo inaendelea kwa timu nane kutimua vumbi kwenye viwanja vinne kutafuta pointi tatu ikiwa ni mzunguko wa pili.

Kagera Sugar watacheza leo na kikosi cha Tanzania Prisons Uwanja wa Kaitaba, KMC wapo mkoani Shinyanga watacheza na Stand United uwanja wa Kambarage.

JKT Tanzania wataikaribisha Mwadui uwanja wa Isamuhyo na Ruvu Shooting leo atakuwa kazini kumenyana na Mbeya City uwanja wa Mabatini.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic