February 2, 2019


Mtoto wa miaka 10, ambaye ni mwanafunzi wa darasa la pili, amekutwa ameuawa kikatili na mwili wake kutelekezwa kichakani eneo la Lupembe, wilayani Njombe wakati akitoka shuleni jana.

Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Ruth Msafiri amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Christopher Ole Sendeka amesema; “Tungependa kuanza na hawa ambao ni matajiri wanaoaminika walipata utajiri kwa njia ambazo si halali watatusaidia na tutawashika ili kuisaidia Jeshi la Polisi.”

3 COMMENTS:

  1. Kiukweli inaumiza mtoto mdogo kama huyo amewakosea nn mpaka akafanyiwa ukatili huwo nawaomba jeshi la polis muwatafute wauwaji na nukiwakamata wafungwe maisha

    ReplyDelete
  2. Kiukweli inaumiza mtoto mdogo kama huyo amewakosea nn mpaka akafanyiwa ukatili huwo nawaomba jeshi la polis muwatafute wauwaji na nukiwakamata wafungwe maisha

    ReplyDelete
  3. So sad but why this? ni kweli ni haJehamatajiri au kuna mishe nyingine? Ila inaumiza kuona sasa ndo imekuwa fashion Mungu ampumzishe mahali mapema peponi, wote kwake tutarudi.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic