February 20, 2019

MCHEZO wa mzunguko wa 28 kati ya Mbao FC na Yanga

Uwanja wa CCM Kirumba
Mbao 1-2 Yanga

Full Time Mbao 1-2 Yanga 90 Zinakamilika zinaongezwa dakika 4

89 Yanga safari kwa Metacha 88 Haji anatupa majalo ovyo

87 Tshishimbi anachezewa rafu anapewa huduma ya kwanza anabebwa kwenye machela. 

86 Kabwili anaanzisha mashambulizi
85 Wanaanza Yanga, Kabwili anadaka shuti jepesi

84 Haji anapiga shuti kwa Metacha anadaka, Makambo anachezewa rafu

83 Mohamedd Isa anaingia Ngasa anatoka
82 Yondani anapiga faulo
81 Mbao wanakosa faulo
80 Haji anapiga faulo inapaaa mawinguni
78 Mbao wanacheza rafu, Babilas Chitembe kadi ya njano 

77 Vincent, Makambo anapoteza  Njohole moira unanatoka nje.

76 Faulo inapigwa kwenda kwa Kabwili mabeki wanaanua hatari.

75 Ajibu anatoka anaingia Kaseke, Kabwili anaanza Tshishimbi

73 Paul anaachia shuti kali halizai matunda

72 Ajibu anapiga kona inaokolewa. Metacha, Makambo anatengeneza nafasi, Mabeki wanaokoa, Ngasa anaachia shuti linaokolewa.

71 Vincent anaingia anatoka Tambwe
70 Mbao wanajaribu wanapaisha

69 Tambwe anafunga bao la 2 kwa mkwaju wa penalti akitumia guu la kulia.

66 Mulilo ananawa mpira, Yanga wanapata penalti

65 Eric Mulilo anaonyeshwa kadi ya njano

Dakia ya 65 Athanas anatoka Mwangosi anaingia

64 Ninja anacheza rafu kwa Pastory 

63 Pastory anachezewa rafu na Ninja, Charles wa Mbao anapoteza nafasi ya wazi

62 Tambwe anadhibitiwa na Njohole, Paul, Makambo anapoteza nafasi.

61 Kabwili anaokoa hatari

58 Yanga wanapata kona inapigwa na Ajibu, Boban anaokoa, Tshishimb, Murilo anaokoa

57 Ajibu, Boban, Yondan, Kabwili, mpira unakamwatwa na Mbao wanaotea.

56 Ajibu anapeleka mashambulizi anapoteza 

55 Tambwe anachezewa rafu eneo la hatari na Mwasa

54 Papy anaudhibiti mpira,Kabwili anaanza, Ngasa anacheza faulo.
53 Kona inapigwa na Boban, Metacha anadaka

52 Njohole anakosa nafasi ya wazi. Tambwe, Tshishimbi kona ya kwanza kwa Yanga.

51 Yondani anaonyeshwa kadi ya njano.

49 Tshishimbi anapiga kross, Makambo anapiga kichwa  48 Ajibu Njohole anaanua, Paul anajaza majalo yanatoka nje, Metacha, Tambwe anacheza faulo  kwa Mbao Njohole, Ally, Ngasa anaudhibiti.

47 Metacha anaanzisha safari, Said Jr, Robert, Kabwili anadaka.
46 Vincent, Njohole anaanza Boban, Ajibu anapoteza nafasi
 Dakika ya 45 Yanga wanaanza safari kwa Metacha

Kipindi cha pili kimeanza

Matokeo ya Mechi nyingine

KMC 1-0 Mtibwa Sugar

Stand United 0-0 Lipuli

Ndanda 1-0 Singida United

Mapumziko

45 zinakamilika zinaongezwa dakika 2
Dakika ya 45+ Boban anapaisha mpira mawinguni
45+1Ally anapiga krossJr   Ndaki Robert anamalizia kwa kichwa
44 Mbao wanapotez moira
43 Moshi anapeleka , Makambo,Ngasa, Ajibu, Metacha anaokoa.
Dakika ya 42 Metacha anaokoa hatari eneo lake.
Dakika ya 41 Tambwe anamtengea Ajibu anapaisha

Dakika ya 40 Metacha, Mwasa,Njohoe anadhibitiwa na Tshishimbi.

Dakika ya 39 Metacha, SaidJr mabeki wa Yanga wanaanua hatari.
Dakika ya 38 Ajiu anatoa nje mpira akiwa karibu na eneo la Metacha.


Dakika ya 37 Haji, Tshishimbi, Haji, Boban, Ngasa, Makambo Njohole anaokoa, Boban anapewa kadi ya njano kwa kucheza rafu.
Dakika ya 36 Metacha anaokoa shuti la Ninja.

Dakika ya 35 Tshishimbi anacheza rafu, Mbao wanaanza, Bernand, Philip, Ninja anaanua wanapata konainaishia nje.

Dakika ya 34 Ajibu anapiga faulo kwa kwa kumpa pasi Boban anaachia shuti kali Metacha anadaka.

Dakika ya 33 Yondani anampasia Kabwili, Ngasa,Haji Mwinyi mabeki wanaanua kichwa cha Makambo.

Dakika ya 32 Mwasa, Vincent, Ally, Robert Kabwili anaokoa.
Ajibu, Tambwe wanapoteza.

Dakika ya 31 Makambo anacheza faulo. Dakika ya 30 Kona wanapata Mbao wanaokoa, Ajibu anachezewa faulo wanaanza na Paul anaweka pasi ndani Mwasa anaokoa kwa kichwa. Dakika ya 29 Said Jr, David anadhibitiwa na Haji, Paul, Boban, Tshishimbi anadhiitiwa
Dakika ya 28, Paull Godfery anaporwa mpira, Mbao wanaanza kwa kurusha. Dakika ya 27 Makambo anamtengea Ajibu mpira dani ya box kwa kifua anacheza rafu.

Dakika ya 26 Tambwe anaingia karibu na box Njohole anaokoa hatari, Mbao wanapopaisha mpira mawinguni.

Dakika ya 24 Mbao wanacheza faulo Njohole anapoteza mira, wanafanikiwa kuupata Mbao na kuanza safari kwa KabwiliDakika ya 23 Mbao wanaingia eneo la hatari,Mpira unatoboa nyavu. Dakika ya 22 Ngassa anachezewa faulo, Boban anapiga Tambwe anapiga kichwa kinatoka nje.
Dakika ya 21 kona inapigwa kwa Mbao Said Jr anapiga shuti linatoka nje.
Dakika ya 20 Paul anarusha, unatolewa nje unapelekwa kwa Kabwili, Pastory anadhibitiwa na Paul Godfrey.
Dakika ya 19 Yondani anaanzisha mashambulizi kwa Metacha.
Dakika ya 18 Mbao wanaanza kucheza faulo kwenda kwa Kabwili.
Dakika ya 17 Mussa anapiga mpira Kabwili anaokoa, Migomba, Makambo , Ngasa anacheza faulo  Dakika ya 16, Metacha,wanaanza safari ya kwenda kwa Kabwili, Godferey anamchezea Rambo faulo
Dakika ya 15 Robert anapoteza mpira unaruswa kwenda Yanga, Njohole, Ramos, Njohole, Mussa pasi inapotea Ramadhan anaanua.
Dakika ya 14 Mbao wanarusha, Said JR, Amors wanapoteza, wanarejea tena wanaishia kwenye box Yondani anaanua
Dakika ya 13 Haji anachezewa faulo

Dakika ya 12 Haji Mwinyi anarusha, Boban, Mwinyi, Godfrey anapoteza.
Dakika ya 11 Ajibu anapeleka mashambulizi kwa Metacha.
Dakika ya 10 Njohole anamchezea rafu Boban, inapgwa haileti matokeo Dakika ya 9, Paul Godfery, Tshishimbi wanapoteza
Dakika ya 8 Mbao wanakosa bao la wazi, Tambwe anaotea.

Dakika ya 7 Mbao wanapiga kona ya kwanza kupitia Said Jr, kona nyingine Amors Charse wanaokoa Yanga.

Dakika ya 6 Ajibu anapiga faulo inaanuliwa na mabeki wa Mbao, Ajibu anacheza faulo, Yondani anatoa mpira nje. Dakika ya 5 Makambo anachezewa rafu

Dakika ya 4 Kabwili anadaka mpira

Dakika ya 3 Athanas anapiga mpira unatoka nje akiwa eneo la hatari
Dakika ya 2 Ngassa anapiga mpira unishia mikononi mwa Metacha.

Dakika ya 1 Said Jr anapaisha mawinguni mpira

5 COMMENTS:

  1. Andika vizuri basi. hata kufuatilia inakuwa shida. nani kafungwa

    ReplyDelete
  2. Mbao wake msumari,yanga lazima upigwe wataka hutaki lazima ufe.

    ReplyDelete
  3. Mtoa maelezo wa mechi inaonekana kaingiwa na homa ya mcheheto kiasi cha kuyapamba maelezo kwa kuitanguliza Yanga mbele kwa goli la Mbao khaa.

    ReplyDelete
  4. Kuna mtu anateseka?????

    ReplyDelete
  5. Wanaoteseka Ni Yanga Maana Simba Ikishinda Vipolo Vyake Inakaa Kileleni Kwa Kuwazidi Yanga Pointi 5

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic