February 20, 2019



SADALA Lpangile wa KMC dakika ya tatu alifunga bao ambalo lilitosha kuimaliza Mtibwa Sugar kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Uhuru leo.

Mchezo wa awali Mtibwa Sugar wakiwa nyumbani walilazimisha sare ya kufungana bao 1-1 Manungu.

Ushindi huo unaipeleka KMC nafasi ya nne ikiwa na pointi 40 baada ya kufikisha pointi 40.

Mtibwa Sugar wanaendelea kubaki na pointi 29 wakiwa nafasi ya 17 baada ya kucheza michezo 24.

2 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic