February 24, 2019

Mchezo wa kombe la FA
Uwanja wa Majaliwa uliopo Ruangwa mkoani Lindi
Namungo 0-1 Yanga.


Mchezo wa Kombe la Shirikisho umeanza kwa sasa Uwanja wa Majaliwa.

Kipindi cha pili kinakamilika


90+2 Kelvin John anaonyeshwa kadi ya njano pamoja na Hamis wote wa Namungo.

90 Zinakamilika, zinaongezwa dakika tatu

89 Namungo wanamfuata Kindoki Makambo anazuia
83 Kaseke anapiga kros inayomkuta Makambo anamalizia kwa kichwa,

76 Manyanya anapiga shuti Kindoki anaokoa wanapiga kona ya nne 
75 Kona ya tano kwa Yanga  mawinguni kichwa cha Tshishimbi.

73 Tambwe ndani Ngassa nje
70 Gadiel, Ngasa Namungo wanaanua Ninja anacheza rafu kwa mchezaji wa Namungo.

67 Kindoki anaanguka chini golini baada ya kugongana na Manyanya anapewa huduma ya kwanza.


65 Tshishimbi anachezewa rafu, Paul anapiga pira unakwenda nje.

63 Kaseke, Gadiel anachezewa faulo, Fei Ngasa anababatiza, Feisalum, Banka, Ninja anaunyaka Adam.

61 Offside ya kwanza kwa Yanga

61 Namungo wanapoteza nafasi ya wazi
60 anatoka Lukas Kikoti anaingia KelvinJohn 59 Deus Kaseke ndani Ajibu nje.

57 Kindoki anaanzisha kwakwe Tshishimbi inaanuliwa, Banka, Gadiel anapoteza Manyanya, Daniel, FredKikoti anamchezea rafu Banka.

55 Fei anapiga inakamatwa na Adam.

54. Daniel, Banka, Paul, John Mbise anaonyeshwa kadi ya njano.
53 Hamis Fakhi anapiga faulo 

52 Namungo wanapaisha faulo.

51 kona anapiga Ajibu inaokolewa, Ramadhani, Manyanya wanapata faulo Namungo.

50 Paul, Ngasa unatoka nje, Adam 49 Paul Godfery na Lusajo wanachezeana rafu.

48 Adam Mwaseja mlinda mlango wa Namungo anaanzisha, 47. Ajibu anapaish mawinguni.

46 Manyanya napoteza akiwa na mlinda mlango, Mo Banka anachezewa faulo karibu na eneo la hatari.

45 Ramadhani ananzisha, Ngasa anajaza majalo mlinda mlango anaokoa.


Haji Mwinyi anatoka anaingia Gadiel Michael

Kwa sasa mpira ni Mapumziko

Inaongezwa dakika moja.

45 Yanga wanachezewa rafu, anapiga Ajibu ndefu inadakwa na mlinda mlango wa Namungo.

44 Haji, Banka, Makambo unapotea kwa Haji 43 Makambo anapaisha mpira mawinguni.

41 Mlelwa, Namungo wanacheza faulo inapigwa na Ninja, Manyanya, Lusajo anachezewa rafu mwamuzi anapeta.

40 Haji anacheza rafu wanacheza faulo inaokolewa, Kindoki, Ngasa anapoteza.

38 Chikupe kadi ya njano, Kindoki anapiga ndefu mpaka Namungo, Chkupe, Manyanya Kikoti ananawa mpira, Chikupe, Makambo, Ngasa. 36 Chikupe anacheza rafu kwa mchezaji wa Namungo baaada ya kunyanyua mguu juu.

33 Kona ya tatu kwa Namungo, Kindoki anapangua, Tshoishimbi, Feisal, Makambo anacheza faulo kwa mlinda mlango wa Namungo.

32 Manyanya, Danieli, Haji Mwinyi, Tshishimbi anacheza rafu. 30 Lusajo anaachia shuti Kindoki anaunyaka.

29 Kindoki anaoangua mpira hewani inakuwa kona ya pili kwa Namungo, Tshishimbi anaokoa hatari.

27, Makambo, Ngasa, Banka, Ajibu, Tshishimbi, Ajibu, Haji, Fei, Banka, Ajibu anaingia ndani inaokolewa ndani ya 18.


25 Mo Banka anapata maumivu anapewa huduma ya kwanza.


24 Ajibu anaingiza mpira mrefu unishia kwa mlinda mlango wa Namungo.


20 Makambo anajaribu akiwa ndani ya 18 mpira unaokolewa na mabeki inakuwa kona ya tatu, nayo pia haizai matunda.

19 Kona ya pili Yanga wanapiga kupitia kwa ajibu haizai matunda.

17 Ngassa, Makambo, Ajibu, Ngasa Adam anaunyaka 
16 Chikupe, Makambo, Ajibu anapiga ndivyo sivyo.
15 Makambo anapaisha Mawinguni.

14 Namungo wanaaza safari kwenda kwa Kindoki.

Dakika ya 13 Yanga wanapata kona ya kwanza inapigwa na Ajibu.

8 Manyanya alichezewa rafu na Haji Mwinyi akapewa kadi ya njano.

Dakika ya 07 Haji Mwinyi anaonyeshwa kadi ya njano kwa k
Mlinda mlango Kindoki anaonyesha uwezo wake wa kunyakua mipira.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic