March 25, 2019

2 COMMENTS:

  1. Huyu hamna kitu aliitabiria pia simba itafungwa minaona afukie tu hayo mashimo

    ReplyDelete
  2. Hao na wachungaji wapigaji alafu wanafki jamaaa namjuwa yupo pale Mbezi anawapiga watu Sadaka.. na nimeona Mungu sasa anamuangaza kuwa ni mmoja kati ya manabii waganga njaa aitabiria Simba mabaya mwishowe ikawa aiba juzi katabiria Stars mwishowe aiba sasa mi naona ni wakati wa Makonda kumtimua pale mbezi stand asiwaibie wananchi wasio kuwa na habari naze, wakati mwingine anaishiwa anaishia kuubiri siasa na kujifanya ana-support chama tawala na wakati ni mnafki anajipendekeza kwa siasa ili aonekane wa maana....Makonda fyekelea mbali huyo mchungaji hewa kwanza alikuwa anakatisha tamaa wananchi akitabiri taifa stars itafungwa hii ikiwa kwamba alikuwa anapingana na kampeini zako za NI ZAMU YETU..Mini naona ni bora achukuliwe kama MTABIRI/MGANGA WA KIENYEJI na siyo Mchungaji

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic