March 25, 2019


Rais wa Jamuhuri ya Muungano Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amehaidi kuwapatia viwanja vya kujenga nyumba wachezaji wote wa Taifa Stars pamoja na Bondia Hassan Mwakinyo.

Zawadi hiyo imeenda sambamba na Mwalimu wake pia na wachezaji wa zamani wa Tanzania, Peter Tino na Leordiga Tenga.

Zawadi hizo zimekuja baada ya Tanzania kufuzu Afcon 2019 nchini Misri baada ya kuifunga Uganda 3-0 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Rais Magufuli amesema viwanja hivyo vitakua mkoani Dodoma.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic