March 29, 2019

2 COMMENTS:

  1. Tambo nyengine za hawa watu wa Yanga ni comedy. Simba kama kweli wana nia ya kumrejesha Ajibu msimbazi hakuna cha kuwazuia pale Yanga. Hata Ajibu alipoamua kuondoka Simba sio kwamba Simba walishindwa kumzuia asiende Yanga bali Simba waliridhia aondoke. Ajibu kaenda Yanga na kama atadumisha kiwango chake basi ni bora abakie hukohuko Yanga na kama ataamua kurudi Simba basi anatakiwa kuboresha kiwango chake zaidi ya sasa na awe na malengo ya kimkakati ya kudumisha kiwango chake kwani ushindani wa namba ndani ya Simba ni mkubwa zaidi kuliko Yanga la sivyo atakwenda kuishia kuozea kwenye benchi.

    ReplyDelete
  2. Kama mkataba unaisha yanga basi hii ndiyo tunaita adding value to quantity

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic