VIDEO: KOCHA SIMBA AFUNGUKA KUELEKEA MECHI NA MBAO, AZUNGUMZA KISWAHILI KWA UFUPI
Simba Jumapili watakuwa mzigoni Uwanja wa Jamhuri kumenyana na Mbao FC ikiwa ni mchezo wa ligi pia wana kibarua cha kucheza na TP Mazembe Aprili 5 kwenye hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika.








0 COMMENTS:
Post a Comment