VIDEO - KONKI LIQUID AGEUKA KITUKO TAIFA
Miongoni mwa watu waliowasili katika uwanja wa taifa jijini Dar kuushuhudia mtanange kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars Vs Uganda) Ni pamoja na Konki Liquid, ambaye ni mchekeshaji na mlevi wa kimataifa.
Mtanange huo ulimalizika kwa Tanzania kuichapa Uganda mabao 3- 0.
0 COMMENTS:
Post a Comment